Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Saturday 17 May 2014

VITU VINAVYO WAVUTIA ZAIDI WANAWAKE KWA WANAUME




Tafiti zinaonyesha kuwa hakuna kinachowateka wanawake katika kuvutiwa na wanaume kama uwezo wa kumiliki (mali, fedha, nyumba, magari, biashara n.k), kutawala (nafasi katika jamii, cheo n.k) na nguvu (uwezo wa mwanamke kujihisi yuko salama akiwa na mwanaume huyu, kuhisi kuwa anaweza kufanya chochote akiwa naye) hata kama nguvu hizi sio halisi lakini muonekano wa mwanaume huyu unazihirisha nguvu, kwa mfano anapokuwa na misuli tofauti na anapoonekana kwa nje kuwa goigoi na mzembe. Sasa kama wewe kaka umekuwa ukisumbuliwa na kuhimizwa na mpenzi wako ukazitafute “six packs” ujue siri iko hapa – Chris Mauki.

No comments:

Post a Comment

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive