Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Sunday 4 May 2014

UHUSIANO KATI YA UBONGO WA MWANAUME NA KIU YA TENDO LA NDOA

Tafiti zinaonyesha kwamba ubongo wa mwanaume unanafasi ya ukubwa mara mbili na nusu zaidi iliyotengwa tu kwa kumwezesha kuwa na msukumo, kiu na hamu ya kufanya tendo la ndoa “sex”. Nafasi hii ipo katika “hypothalamus”. Hii inawafanya kuwaza zaidi na kwa kasi zaidi kuhusu fursa, mbinu na mambo yote yahusuyo tendo la ndoa, iwe usiku au mchana na hii pia humfanya mwanaume kuwa tayari kutumika wakati wowote apatapo fursa ya kufanya tendo la ndoa. Kwa utafiti huu inakuonyesha kwamba ukiona mwanaume wako anakaa muda mrefu hafanyi au hahitaji kufanya tendo la ndoa labda akisema amechoka jiulize sana, labda ubongo wake ndio unashida, au labda anasehemu nyingine anakomalizia haja zake, au “intimacy” baina yenu imeshuka sana kiasi kwamba anaona haimfaidii chochote kufanya tendo hilo na wewe (hii ni hatua mbaya zaidi), au labda ana tatizo la kiafya (hapa unatakiwa uchunguzi zaidi) – Chris Mauki

1 comment:

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive