Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Wednesday 21 May 2014

UNATUMIA MUDA GANI KUMFIKIRIA MPENZI WAKO?



Tafiti zinaonyesha ya kwamba mwanaume au mwanamke aliyeko kwenye mapenzi hutumia hadi asilimia 85 ya muda wake katika kumfikiria mpenzi wake, sasa hapa inamaanisha ni katika kuyafikiria mazuri au yale mabaya na ya kuumiza anayofanyiwa na huyo mpenzi wake. Na huu ndio ushahidi tunaposema kwamba mapenzi yakikufika huchukua asilimia kubwa zaidi ya maisha yako yote, kwa maneno mengine tunasema maisha yako yote humezwa, aidha na furaha au karaha inayotokana na hayo mapenzi. Be very careful, kina cha maji hakipimwi kwa kuyakanyaga – Chris Mauki.

No comments:

Post a Comment

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive