Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Tuesday 6 May 2014

INTIMACY AND CHEMISTRY IS SWEETER THAN SEX (UKARIBU NA MVUTO BAINA YA WAPENZI NI MTAMU KULIKO TENDO LA NDOA)

Nimejifunza kwamba ukaribu “intimacy” na mvuto “chemistry” baina ya wapenzi ni vitu vitamu na vyenye ladha zaidi kwenye mahusiano kuliko tendo la ndoa, hii ni kwasababu wakati tendo la ndoa ni tukio lenye muda maalumu ukaribu na mvuto ni vitu endelevu, vinavyotakiwa kupaliliwa na kumwagiliwa kila muda katika maisha yetu ya mahusiano. Sasa kama wewe au nyie furaha yenu ipo tu mnapokutana kimwili basi nikupe taarifa kwamba mnakosa kitu kikubwa sana, mnakosa sehemu yenye utamu wenyewe wa mahusiano, kwasababu furaha yenu inakosa msingi “base” na hivyo haiwi endelevu, kinyume chake mnajikuta ili kufurahiana lazima mkimbilie kwenye kufanya tendo la ndoa, na mnafanya hadi mnachoka na bado mnahisi “something is still missing somewhere” na mara linapokosekana basi mnabaki kama vitu tu na sio watu. Jifunze kuboresha intimacy na chemistry yenu zaidi, You will always enjoy being together hata pale umbali unapotokea kati yenu 
– Chris Mauki.

2 comments:

  1. Ni kwel kabisa na ndomaana vijana wengi wamekuwa na michepuko ya kutosha, na ukijaribu kuwauliza wanakwambia njia kuu foleni, kama wangetambua siri hiyo ya intimacy and chemistry tungefanikiwa kuwa na kizazi tulivu katika upande wa mahusiano.

    ReplyDelete
  2. Hilo halina ubishi kabisa, tatizo ni kwamba vijana walio wengi wamekuwa na haraka na tendo la ndoa wakidhani kuwa huko ndo kumwonyesha mpenzi wake upendo.

    ReplyDelete

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive