Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Wednesday 14 May 2014

A KISS IS MORE THAN A KISS: JE UNAJUA SIRI ILIYOKO KWENYE BUSU LA ULIMI “TONGUE KISS”??





Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema “In the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste test”. Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke. Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa. Hii ndiyo sababu inayofanya wanawake wengi kushindwa kujizuia kufanya tendo la ndoa mara tu wanaporuhusu mwanaume kugusanisha ndimi “tongue/French kiss” - Chris Mauki

1 comment:

  1. nashukuru kwa kunijuza nilikuwa sijui na huu ndio uchawi wangu, nimeipenda.

    ReplyDelete

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive