Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Monday 2 June 2014

JE UNAJUA KWAMBA KUKARIBIANA KWETU KIMAHUSIANO KUNAANZIA KWENYE HARUFU?



Utafiti uliofanywa nchini Switzerland umeonyesha kwamba mara mwanaume na mwanamke wanapoonana kwa mara ya kwanza na mmoja kuvutiwa na mwingine au wote kuvutiwa, huwa kunakuwa na harufu kutoka kwenye “genes” zao ambapo kama “genes” hizo zinaendana au zinafanana kila mmoja atahisi harufu mbaya toka kwa mwenzake na hivyo kupunguza uwezekano wa kuanza mahusiano kwasababu ya kukwepana na iwapo “genes” zinatofautiana “dissimilar” watahisi harufu nzuri na hivyo kuzidi kukaribiana. Sasa labda unapompenda au kuvutiwa naye halafu akaanza kukuepuka, kukukwepa au kukuchukia gafla hatakama hamjaongea naye sana unaweza kukuta kasha hisi harufu mbaya toka kwako hata kama yeye mwenyewe hajui kinachomkimbiza – Chris Mauki

No comments:

Post a Comment

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive