Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Monday 9 June 2014

CHIMBUKO LA KIU YA KUTAMANI KWA WANAUME



Kila ubongo wa mwanaume umeumbwa na sehemu inayo msukuma kutamani “lust centre”, mara mwanaume amwonapo mwanamke mwenye kumvutia, sehemu hii huamshwa na kutuma ujumbe wa hisia za mapenzi katika maeneo mengine ya mwili wake. Ukiona mwanaume ambaye ni mlevi wa kutamani na kuwafuatilia wanawake basi ujue ameiendekeza sana hii sehemu ya kutamani katika ubongo wake, ukiona ambaye hasumbuliwi na kutamani usidhani kazaliwa hivyo bali amejiweza au ameimudu hiyo “lust centre”. Fahamu kabisa kwamba ukiiiendekeza kiu hii lazima itaathiri mahusiano yako – Chris Mauki

No comments:

Post a Comment

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive