Follow CHRIS MAUKI:

www.chrismauki.com

Thank you very much for visiting our blog. We have new website for you,we are sure this new website will completely blow your mind! Subscribe by entering your e-mail below to stay updated on our progress.

Launching
comeback
launchpad

Monday 9 June 2014

FAHAMU CHIMBUKO LA TABIA YA BAADHI YA WANAUME KUCHUKUA WANAWAKE WA RAFIKI ZAO



Tabia ya mwanaume kumchukua kimapenzi mwanamke wa rafiki yake au mwanamke wa mwanaume wanayefahamiana “mate-poarching” huonekana kama alama ya ushindi au sifa “double victory” katika akili au ubongo wa mwanaume huyo, tofauti na anapomchukua mwanamke wa kawaida na asiye mjua. Yamkini wewe ni shahidi kwamba wako watu wengi unaowajua ambao waliishia kuwachukua na hata kuoana na mwanamke ambaye aliwahi kuwa mpenzi, mchumba au hata mke wa rafiki yake. Tafiti zinaonyesha tabia hii ipo sana kwa wanyama wa porini kama vile sokwe ambao wao huweza kumshambulia dume mwenzao hata kumuua ili tu wamchukue jike wake, tukio hili katika ubongo wa jinsia ya kiume iwe ya mtu au mnyama huchukuliwa kama tukio la ubabe, la sifa na la ushindi – Chris Mauki.

No comments:

Post a Comment

KWA USHAURI ZAIDI

Email : chrismauki57@gmail.com
Mob No:+255713 407182

Total Pageviews

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
+255718-243339 or +255713-407182 / chrissmauki2014@gmail.com
Powered by Blogger.

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

Popular Posts

About Me

Blog Archive