Wakati
mwanaume anakutana na mwanamke katika tendo la ndoa malengo na
matarajio ya wawili hawa katika tendo hili huwa tofauti kabisa. Wakati
mwanamke anasukumwa na tumaini lake kwenye upendo, uaminifu na wote
kumaanisha “to be commited” katika penzi hilo hata kabla ya kufanya
tendo la ndoa, mwanaume yeye cha kwanza na cha muhimu kuliko vyote ni
tendo la ndoa, na kiu yake hii huongoza vyote – Chris Mauki
No comments:
Post a Comment