Watafiti
wa chuo kikuu cha McGill nchini Marekani wamegundua kwamba wapenzi wengi
hugombana na kutofautiana kuhusu suala la kunyonyana “oral sex” hii ni kutokana na mmoja kutamani zaidi kufanyiwa wakati
mwingine hapendi au hufanyi kama mwenzake anavyotaka. Utafitii huu unaonyesha
kwamba “oral sex” husisimua na
kuamsha kuliko tendo la ndoa la kawaida “intercourse”
na wanaume huhemka zaidi katika “oral sex”
kuliko wanawake. Sababu kubwa ya hisia hii ya pekee kwa wanaume ni kwamba “lips”, ulimi na vidole vya mwanamke
huamsha na kupanua “urethral” ya
mwanaume, na hii humfanya mwanaume ajisikie kuhemka sana tofauti na uume
unapokuwa ndani ya uke. Ni kweli kwamba jinsi mwanaume anapoongeza kuhemka
sehemu yake ya juu kabisa ya uume “the
tip area” hupunguza uwezo wa kuhisi, uume huwa na kitu kama ganzi, wataalam
wanasema hii ni njia asilia aliyoifanya Mungu ya kumsaidia mwanaume asiumie hususani
wakati uume ukiwa ndani ya uke “during intercourse”.
Kwahiyo watafiti hawa wanasema kama mara nyingine mwanaume hafiki kileleni kwa
tendo la ndoa la kawaida labda anaweza kufikia kupitia “oral sex”. Nasisitiza kwamba utafiti huu haukuhusisha vitu kama
imani au utamaduni wa watu – Chris Mauki.
Follow CHRIS MAUKI:
Facebook